Top Ad unit 728 × 90

VIDEO YA JACO BEATS – 'I SAY' MTAMBONI

Jaco Beats


Mwanamuziki na Producer anayekuja kwa kasi ndani na nje ya Dodoma Jaco Beats toka wanyausi Records hivi sasa anamalizia Video ya wimbo wake ‘I Say’ ambao unafanya vizuri katika radio mbalimbali hapa nchini..Video hiyo tayari imeshafanyiwa Shooting katika maeneo mbalimbali katika Mji wa Dodoma na siku za hivi karibuni Video hiyo itaanza kurushwa katika vituo vya Televisheni mara tu baada ya kukamilika kwake.

Jaco beats anaamini video hivo itamueka katika ramani nzuri zaidi ya yeye kujitangaza ndani na nje ya nchi kwani Video mara nyingi ndizo zinazomtambulisha msaa International kutokana na ubora wake.

Stay tune kwa hiyo video na tunamtakia mafanikio mema katika uandaaji wa hiyo video… 

........I Say Audio hapa.........
 http://www.hulkshare.com/154ugeqouq3w
VIDEO YA JACO BEATS – 'I SAY' MTAMBONI Reviewed by Unknown on Friday, July 20, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.