CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy - Nadata Nawe [Audio & VIDEO LINK]
Wimbo mpya kutoka kwa CBH, CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy. Hii ni mara yakwanza kabisa kwa ndugu hawa wawili mtu na dada yake kushirikiana katika wimbo mmoja japo wote wanafanya muziki. CBH ni msanii alietamba na wimbo wa Bestfriend, Am In Love, nakuitambulisha style mpya ya Muziki Tanzania "SAMPA MUSIC". Nyimbo hizo zilizomtambulisha CBH vizuri nakumpeleka katika soko lakimataifa zilifanyikia katika studio za AM Records chini ya Producer Manecky. Witness ambae kwa sasa anajiita Witnesz ametamba na nyimbo nyingi ikiwemo Zero ft Fid Q iliuompa Awards katika Tuzo za Channel O Music Awards as a The Best Hip Hop Female Artist na The Best Femele Hip Hop Video. Hoi akiwa WAKILISHA, SWANGLISH, Attention please, Safari ft CP n.k.
Baada ya watu kumzoea CBH kivingine sasa amefanya wimbo NADATA NAWE ukiwa ni wimbo wa kwanza kwake kufanya na dada yake. Katika wimbo huu kuna msanii anaefanya vizuri sana Ochu Sheggy mtoto wa Mzee Sheggy moja ya wazee waliokuwa wakitamba sana katika kufanya muziki wa live kipindi hicho cha nyuma. Wote walioshirikiana katika wimbo huu NADATA NAWEWE wana historia yakimuziki katika familia zao, huku Witnesz na CBH mama yao mkubwa alikua ni mwanamziki mkubwa sana Tanzania TABIA MWANJELWA.
CBH kufanya wimbo wakinyumbani zaidi. Maelezo mafupi toka kwa CBH juu ya wimbo huu. NADATA NAWE.
Info;
CBH - Wimbo umefanyika katika studi za NK Prod chini ya Producer ChrisTone The Melody (Audio).
- The video by Adam Juma, Visual Lab Next Level.
WATCH HERE THE NEW VIDEO
CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy Nadata Nawe
http://www.youtube.com/watch? v=G3C_KgwNYOY
For CBH music videos follow this link.
YouTube
Search for
CBH - Am In Love http://www.youtube.com/watch? v=zU56B0Wsick
Or search for;
CBH - Bestfriend
http://www.youtube.com/watch? v=tsXPd7PV2Zo
Search for
CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy - Nadata Nawe http://www.youtube.com/watch? v=G3C_KgwNYOY
Search for
Shantiver ft CBH - Leo http://www.youtube.com/watch? v=OPvrYgz6rek
Find CBH on FACEBOOK; username; Cbh Officl or CBH and like the page CBH, join the group CBH. On Twitter @CBHHalawa.
View his music video on YouTube account Cbh Halawa or by clicking this link.
http://www.youtube.com/ channel/ UCZLYlCVGUWmoapjDPNqjGNg
Download his MP3 songs on REVERBNATION by CBH Official or by clicking this link
http://www.reverbnation.com/ cbhofficial
About CBH Early.
CBH is the fastest growing artiste in Tanzania in terms of popularity as a result his music style dubbed 'sampa' With hit songs like 'Bestfriend' released in 2008 and 'I'm in love' released in 2011 taking over the airwaves in Tanzania and other parts of Africa including Nigeria, CBH is definitely a musician to watch out for. CBH music style has become so successful in Tanzania such that other music superstars have started releasing songs following in his footsteps. To top it all due to the massive airplay he received in Nigeria.
Baada ya watu kumzoea CBH kivingine sasa amefanya wimbo NADATA NAWE ukiwa ni wimbo wa kwanza kwake kufanya na dada yake. Katika wimbo huu kuna msanii anaefanya vizuri sana Ochu Sheggy mtoto wa Mzee Sheggy moja ya wazee waliokuwa wakitamba sana katika kufanya muziki wa live kipindi hicho cha nyuma. Wote walioshirikiana katika wimbo huu NADATA NAWEWE wana historia yakimuziki katika familia zao, huku Witnesz na CBH mama yao mkubwa alikua ni mwanamziki mkubwa sana Tanzania TABIA MWANJELWA.
CBH kufanya wimbo wakinyumbani zaidi. Maelezo mafupi toka kwa CBH juu ya wimbo huu. NADATA NAWE.
Info;
CBH - Wimbo umefanyika katika studi za NK Prod chini ya Producer ChrisTone The Melody (Audio).
- The video by Adam Juma, Visual Lab Next Level.
WATCH HERE THE NEW VIDEO
CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy Nadata Nawe
http://www.youtube.com/watch?
For CBH music videos follow this link.
YouTube
Search for
CBH - Am In Love http://www.youtube.com/watch?
Or search for;
CBH - Bestfriend
http://www.youtube.com/watch?
Search for
CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy - Nadata Nawe http://www.youtube.com/watch?
Search for
Shantiver ft CBH - Leo http://www.youtube.com/watch?
Find CBH on FACEBOOK; username; Cbh Officl or CBH and like the page CBH, join the group CBH. On Twitter @CBHHalawa.
View his music video on YouTube account Cbh Halawa or by clicking this link.
http://www.youtube.com/
Download his MP3 songs on REVERBNATION by CBH Official or by clicking this link
http://www.reverbnation.com/
About CBH Early.
CBH is the fastest growing artiste in Tanzania in terms of popularity as a result his music style dubbed 'sampa' With hit songs like 'Bestfriend' released in 2008 and 'I'm in love' released in 2011 taking over the airwaves in Tanzania and other parts of Africa including Nigeria, CBH is definitely a musician to watch out for. CBH music style has become so successful in Tanzania such that other music superstars have started releasing songs following in his footsteps. To top it all due to the massive airplay he received in Nigeria.
CBH Ft Witnesz & Ochu Sheggy - Nadata Nawe [Audio & VIDEO LINK]
Reviewed by Unknown
on
Tuesday, January 28, 2014
Rating:
No comments: