Top Ad unit 728 × 90

HII NDIO MOVIE NYINGINE ATAKAYOONEKANA CHRIS BROWN.

Hii ndio Trailer ya movie mpya ambayo mwimbaji staa Chris Brown kaigiza, ni mshkaji mwenye miaka 23 tu toka aletwe duniani lakini mpaka sasa ameshauza sura na ujuzi kwenye movie nne, 2007 Stomp the Yard, 2007 This Christmas, 2010 Takers na Think Like a Man ya 2012….. hii mpya ya Battle of the Year itakua ya tano na inatoka 2013… wengine watakaoshiriki ni pamoja na Josh Holloway (Lost), Laz Alonso (Jumping the Broom, Avatar) and Josh Peck (The Wackness).
HII NDIO MOVIE NYINGINE ATAKAYOONEKANA CHRIS BROWN. Reviewed by Unknown on Monday, July 23, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.