Top Ad unit 728 × 90

JACO BEATS KUMUWEKA JUU TENA BUSHOKE

Producer na Msanii toka DOM (Posho City) Jaco Beats anatarajia kushuka na ngoma yake mpya ambayo ndani atamshirikisha msanii mkongwe na wa kitambo Bushoke toka Dodoma vile vile, Bushoke ni msanii mkongwe ambaye alishatamba na nyimbo kibao ukiwepo wa Dunia njia ambao ndio uliotamba sana na toka wimbo huo amekuwa kimya sana kwa muda mrefu .
Wimbo huo wa Jaco Beats unaandaliwa katika Studio za Wanyausi Rec na producer akiwa ni yeye mwenyewe Jaco Beats na inatarajiwa kuachiwa Hewani mara tu baada ya kukamilika na kuachiwa kwa video yake Jaco ya ‘I say’.

JACO BEATS KUMUWEKA JUU TENA BUSHOKE Reviewed by Unknown on Friday, July 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.