Top Ad unit 728 × 90



Nelson Mandela leo hii (juma nne) amefikisha miaka 94 tangu kuzaliwa kwake, licha ya miaka ya nyuma kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na mwanamama Oprah winfrey katika show yake, mwaka huu hataweza kusherehekea na wananchi wake kwa kuandamwa na maradhi ya hapa na pale na kupelekea kuhamishiwa katika mji aliokulia unaoitwa Qunu (Eastern Cape province), ambapo atasherehekea na familia yake pamoja na watu wake wa karibu tu. MUNGU AKUONGEZEE MAISHA MAREFU SHUJAA WETU WA AFRIKA

Reviewed by Unknown on Wednesday, July 18, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.