Top Ad unit 728 × 90

RECHO AENDA KWAO KUTAMBIKA!

CHIPUKIZI wa filamu Bongo, Rachel Haule ‘Recho’ amedaiwa  kwenda nyumbani kwao Songea kwa ajili ya matambiko ikiwa ni utaratibu wa ukoo wao wa kila mwaka.

Chanzo kilisema kuwa Recho aliondoka hivi karibuni kuelekea Songea kwa ajili ya kufanya mambo hayo ya kimila.

Hata hivyo, msanii huyo alimuacha mchumba wake, Saguda akidai kuwa hawezi kuongozana naye kwani bado hajamtambulisha kwao.

Baada ya kuzinyaka habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Recho kwa njia ya simu na kumsomea madai hayo ambapo alikiri.

 “Ni kweli niko nyumbani Songea, nimeitwa na wazazi wangu kwa sababu hawajaniona kwa miaka miwili sasa, nitakaa huku kwa muda halafu nitarudi Dar,”…
RECHO AENDA KWAO KUTAMBIKA! Reviewed by Unknown on Thursday, August 30, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.