Top Ad unit 728 × 90

Nikki Mbishi aitupia lawama YMCMB kwa kuharibu uvaaji wa vijana

Si ajabu ulishakutana na vijana mjini waliovaa nguo na suruali zinazobana na ambazo zinakaribia kuanguka viunoni kwasababu ya mtepesho wa hatari kama Lil Wayne! Ama ulishakutana na msichana wa miaka 16 akiwa ametengeneza kope zake kwa kuzipaka rangi za ajabu ajabu ili afananane na Nicki Minaj!
Kitu cha kawaida zaidi kukutana na vijana waliovaa t-shirt zilizoandikwa YMCMB (Young Money Cash Money Billionares).

Nikki Mbishi aitupia lawama YMCMB kwa kuharibu uvaaji wa vijana Reviewed by Unknown on Thursday, September 06, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.