Top Ad unit 728 × 90

Acheni uzushi, sijajitoa TipTop!

Baada ya mwishoni mwa wiki kuenea kwa kasi tetesi kuwa rais wa manzese na kiongozi wa Tiptop Connection, namzungumzia Madee, kwamba amejitoa kwenye kundi hilo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na mmoja wa wasanii wa kundi hilo.
Darhotwire ilifanya kazi ya ziada ya kumsaka msanii huyu ambapo alikanusha kuhusu tetesi hizo.
"Man jamaa wanaeneza tu story za uongo hakuna kitu kama hicho mimi bado niko Tiptop kama kuna jipya lolote basi nitawajuza" alisema msanii huyo.
Lakini hata hivyo chanzo chetu kilichopo karibu na wasanii wa kundi hilo kilitudodosea kuwa ndani ya kundi hilo hivi sasa kuna matatizo mengi mno tofauti na watu wanavyofikiri.

Acheni uzushi, sijajitoa TipTop! Reviewed by Unknown on Tuesday, October 30, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.