Top Ad unit 728 × 90

‘Baadae’ ya Ommy Dimpoz jikoni

Kwani ameamua kuipa albamu yake jina hilo, ni kutokana na wimbo huo kufanya vizuri zaidi kuliko ule wa ‘Nai Nai’ aliomshirikisha nyota wa muziki huo, Alikiba.
Alisema kwa sasa yuko kwenye hatua za mwisho za uandaaji wa albamu hiyo, ambayo anatarajia kuiingiza sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao na anawaomba mashabiki wake wakae mkao wa kupokea.
Ni yule Nyota wa muziki wa Kizazi kipya hapa nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa anajipanga kuifyatua albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘Baadae’ ambayo itakuwa imesheheni mipini nane.
Kwani wimbo huo wa baadae umeweza kufanya vizuri zaidi pamoja na kwamba wimbo wa ‘Nai Nai’ ndio ulimtambulisha kwenye sanaa ya muziki na kuamua kuiita albamu yake jina hilo akiwa na amani na mashabiki kwamba wataipenda zaidi.
Wimbo huo wa ‘Nai Nai’ ulimtambulisha vema na kumfanya achukue tuzo mbili, ambazo ni pamoja na ya wimbo bora wa kushirikiana na msanii bora anayechipukia kwenye Kilimanjaro Music Awards 2012.

‘Baadae’ ya Ommy Dimpoz jikoni Reviewed by Unknown on Monday, October 08, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.