Top Ad unit 728 × 90

Chid Benz aitikisa Travertine

Tangu kuanza kwa burudani alishuhudia namna mashabiki walivyokuwa wakimshangilia kwa nguvu msanii huyo, tangu kuanza kulitawala jukwaa majira ya saa 6:30 usiku.
Baada ya msanii huyo kulitawala jukwaa alianza kuviporomosha baadhi ya mipini yake, huku mashabiki wakiendelea kumshangilia wengine wakionekana kupagawishwa na magoma hayo na kuamua kujiachia huku wakimtunza.
Si mwingine bali ni yule Nyota wa Bongo Fleva, Rashid Makwilo 'Chidi Benzi', siku za usoni aliweza kulitawala jukwaa la Travertine Hotel huku akiwa kivutio kikubw akwa mashabiki wake.
Uwepo wa msanii huyo, ni kushuhudia onesho la pamoja kati yake na Kundi la Jahazi Modern Taarab.
Baadhi ya mipini iliyosikika Ukumbini hapo, ni pamoja na ‘Dar es Salaam Stand Up’ na kile alichomshirikisha Malkia wa mipasho, Khadija Kopa, ‘Nampenda Sana Ndo Maana Niko Naye.’

Chid Benz aitikisa Travertine Reviewed by Unknown on Wednesday, October 03, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.