Top Ad unit 728 × 90

Kamata zawadi hii toka kwa JIDE!

Taarifa ni kwamba mwanadada Lady Jay Dee anataka kuanza project mpya ya kipindi chake cha TV na atasimamia yeye mwenye.
Kupitia ukurasa wake wa facebook mdada huyu mjasiriamali kwelikweli ameandika ujumbe kwamba mtu yoyote atakaye bahatika kujua jina la show yake pamoja na tv ambayo itakuwa ikirusha show yake basi atampa zawadi.

Kamata zawadi hii toka kwa JIDE! Reviewed by Unknown on Wednesday, October 10, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.