Top Ad unit 728 × 90

PREZZO AKUTANA NA JAY Z!


Hatimaye mshindi wa pili wa BBA Stargame, rapper Prezzo hivi karibuni alikutana na Jay-Z jijini New York.
Kukutana kwao kulikuwa ni sehemu ya ubalozi wake katika kampeni ya One aliyoteuliwa kama mshindi wa pili wa shindano la Big Brother.
Baada ya concert hiyo Prezzo alipata fursa ya kupiga picha na rapper huyo.
Show hiyo ilifanyika Barclays Centre mjini  Brooklyn, New York.
PREZZO AKUTANA NA JAY Z! Reviewed by Unknown on Monday, October 08, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.