Top Ad unit 728 × 90

ALICHOKISEMA H BABA KUHUSU DIAMOND KUIBA WIMBO WAKE

 Lile sakata la Mwanamuziki Diamond kuiba style hadi beat ya Pasha Idea na Mashairi toka katika nyimbo ya H Baba hatimae H BABA aamua kusema kile kilichopo moyoni mwake kwa kusema hata yeye mbwenyewe Diamond anakijua alichokifanya;

"hata yeye anajua alichokifanya ndiyo maana kila nikimtafuta kwenye simu hataki kupokea simu yangu lakini poa mimi ni msanii mkubwa amenikuta kwenye game siwezi kupoteza muda kwa kushinda naye ila ninachokisema ni kuwa hajafanya fresh atafute nja za kumfanya aendelee kuwa juu kuliko kiba kazi za watu n akama ameishiwa aseme" H Baba.
ALICHOKISEMA H BABA KUHUSU DIAMOND KUIBA WIMBO WAKE Reviewed by Unknown on Monday, November 05, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.