Top Ad unit 728 × 90

HAYA NDO WALIYOYASEMA TUNDA MAN PAMOJA NA SUMA MNAZARETI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILLIONEA PAMOJA NA NYIMBO MPYA ALIYOFANYA TUNDAMAN KUMKUMBUKA SHARO

Haya ndo maneno kutoka kwa Tundaman pamoja na Suma Mnazareti kuhusu ni kiasi gani walivozipokea taarifa za kifo cha Sharobalo.. wasikilize hapa wakati wakifanyiwa mahojiano katika kipindi cha Fleva GX kupitia Impact FM Dodoma.
na pia tumeipata ngoma ambayo kaifanya TundaMan kwa Maneck inayohusiana na Kifo cha SharoMillionea.
HAYA NDO WALIYOYASEMA TUNDA MAN PAMOJA NA SUMA MNAZARETI KUHUSU KIFO CHA SHARO MILLIONEA PAMOJA NA NYIMBO MPYA ALIYOFANYA TUNDAMAN KUMKUMBUKA SHARO Reviewed by Unknown on Tuesday, November 27, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.