Top Ad unit 728 × 90

WALIOGANDANA WAKILA RAHA GESTI HAWA HAPA

Shiliningi miluioni 5 za kitanzania zinahitajika ili kuwanusuru watu wawili walionasiana wakivunja amri sita. Watu wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam wanadaiwa kukutwa wakiwa wamenasana wakati wakifanya tendo maalum la watu walio katika mahusiano (mke na mume) na kwakua wao sio mke na mume halali wamenasiana. Mume wa mwanake ambae amefikwa na maswaibu hayo ya mwaka jijini Dar es Salaam anahitaji kiasi hicho cha fedha ili atoe PASSWORD ya pin hiyo kali aliuyoiweka katika eneo takatifu la unyumba wao. Taarifa za awali kutoka Temeke zinapasha kuwa wawili hao wapo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam kwa unasuaji ambao wadadisi wa mambo hasa ya kijamii wanadai Hospitali hawataweza kuwanasua isipokuwa kwa wataalm wa jadi hasa Mume wa Mwenye mke ambaye aliwekewa tego.
WALIOGANDANA WAKILA RAHA GESTI HAWA HAPA Reviewed by Unknown on Thursday, November 08, 2012 Rating: 5

2 comments:

  1. Picha hiyo sio ya wa temeke! Hiyo ni ya wale waliogandana Kenya!

    ReplyDelete
  2. Wongo. Kwani mbona watu wengi na hasa waimbaji wa misiki huwa wanaibua hisia ya wachumba wao kuwaacha na kuingilia maisha ya kitaa. Kama vile Chikuzee na Lui wanasema wengi wa vijana kitaa wameghadhibiwa wamswala mengi ambayo wengi wao, hawawezi kutatua. Hongo Tanzania IKOME au la Hongera kwa mwenye kuweka PASSWORD pale.

    ReplyDelete

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.