Top Ad unit 728 × 90

ZOLA D Soon kutoa track na P Funk Majani "Knock Out"

Track inakwenda kwa jina la Knock Out ambayo ipo katika maandalizi ya mwisho kutoka ikiambatana na Video ambayo inatarajia kutoka wiki hii, Zola D mwenyewe anaizungumzia track hiyo kwamba ni bonge la ngoma na mashabiki wakae mkao wa kupata kitu cha maana na chenye kiwango kwani video imefanyika katika kiwango cha kimataifa production ikiwa ni kampuni yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la 'Unde pictures' pamoja na 'promo only' ya benjamini wa mambo jambo.
ZOLA D Soon kutoa track na P Funk Majani "Knock Out" Reviewed by Unknown on Sunday, November 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.