Top Ad unit 728 × 90

50 Cent Atajwa Kama "Executive Producer" Katika Show Kubwa Ya TV Ya "POWER" Inayokuja...

Rapper 50 Cent ambae pia ni muigiozaji, ametajwa kama mtayarishaji mkuu muhusika katika vipindi vya TV katika show inayokuja ya Power. TV show hiyo ambayo itamhusu mmiliki wa club ya usiku na pia uhalifu, ni drama ambayo 50 Cent hatakuwa peke yake katika kuisimamia utengenezaji lakini pia, Mark Canton (300) na Randall Emmett (End Of The Watch).

Jamaa hawa wameshawahi kufanya kazi pamoja katika movie ya Freelancers na The Tomb ambayo itatoka mwaka ujao. 50 Cent , rapper wa G-Unit aliegeukia sana uigizaji sasa, pia amecheza movie nyingine itakayotoka hivi karibuni ikifahamika kama The Frozen Ground.
50 Cent Atajwa Kama "Executive Producer" Katika Show Kubwa Ya TV Ya "POWER" Inayokuja... Reviewed by Unknown on Sunday, December 02, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.