Top Ad unit 728 × 90

Bebe Cool Afunguka Na Kusema Kuwa Hatumii Nyama Ya Nguruwe.

Msanii kutoka Nchini Uganda maarufu kama Bebe Cool ambae anatamba na ngoma kama agenze,I don wanna be lonley na nyingine nyingi huku makazi yake yakiwa ni Nchini uganda. Sasa latest news ni kuwa msanii huyo amefunguka ka mashabiki wake na kukanusha uvumi uliokuwa umeenea midomoni kwa watu kuwa anakula nyama ya Nguruwe. Uvumi huo ulienea baada ya Msanii huyo alipoonekana akiwa ametulia na marafiki zake katika bar ambayo inasifika kuuza nyama ya nguruwe. Aidha pamoja na watu kumuona msanii huyo akiwa katika eneo hilo Bebe Cool alikanusha uvumi huo kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa yeye ni muislamu kwahiyo hatumii hiyo kitu
Bebe Cool Afunguka Na Kusema Kuwa Hatumii Nyama Ya Nguruwe. Reviewed by Unknown on Tuesday, December 11, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.