Top Ad unit 728 × 90

LIL WAYNE NDIO PRODUCER WA ALBUM "Born To Lose, Built to Win" YA JUELZ SANTANA

Rapper Juelz Santana amesema Lil Wayne atakuwa na mchango mkubwa katika kutengeneza album yake mpya ya "Born To Lose, Built to Win." inayotoka mwaka 2013. Fahamu Kulishawahi kuwa na mpango wa project ya pamoja ya wasanii hawa wawili `I Can't Feel My Face' lakini mpaka sasa haijatoka.Kwenye Interview na rapfix ,Juel alisema ameshaongea na Wizzy na mipango imeanza. Pia ameweka wazi kuwa hana mpango wa kujiunga na Cash Money au Young Money ila anafanya kazi na Lil Wayne.
LIL WAYNE NDIO PRODUCER WA ALBUM "Born To Lose, Built to Win" YA JUELZ SANTANA Reviewed by Unknown on Thursday, December 06, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.