Top Ad unit 728 × 90

Mrembo wa Bongo awa Miss East Africa

Her name is Jocelyne Maro, ndiye mtanzania aliyeibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa Afrika Ya Mashariki. Jocelyne allibuka mshindi wa taji hilo lililokuwa na vimwana wazuri wa tofauti kutoka ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika shindano hilo lililofanyika Dar Es Salaam katika ukumbi wa Mlimani City.
Miss East Africa 2012, Jocelyne aliwapiga chini warembo wengine wote huku nafasi ya pili ikishikwa na mrembo kutoka Uganda, Ayisha Nagudi [Pichani Kushoto] na ya tatu akitwaa Miss Ariella Kwizera [Pichani Kulia] kutoka nchini Burundi. Hongera Jocelyne kwa kupeperusha bendera ya Tanzania, every one is wishing you all the best katika majukumu yako mapya.
Mrembo wa Bongo awa Miss East Africa Reviewed by Unknown on Saturday, December 22, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.