Top Ad unit 728 × 90

NO NAME Ya P-Funk Majani Na Wenzie Bado Yasubiria Mkono Wa Master J

Ile Album yenye ladha tofauti kutoka kwa Producers Wakongwe na wakali Bongo, yaani NO NAME ambayo inatarajiwa kutoka tarehe 12 mwezi wa 12 mwaka huu, imeonekana bado kusubiria kwa hamu mikono au niseme mdundo kutoka kwa CEO Wa MJ Records yaani Master J. Ikiwa imeonekana twitter from John Mahundi's twitter account, @jmahundi ikimkumbusha Master J kuhusu project hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu, Master J alijibu na kusema week ijayo itakuwa mzuka wamalize mchongo. NO NAME ilikuwa announced hivi karibuni na God Father wa Bongo Flava, P-Funk kuwa ni album itakayokuja ikiwa na ladha tofauti ya muziki kutoka Bongo, Tz ikishirikisha watayarishaji wakali wa muziki, John Mahundi akiwemo
NO NAME Ya P-Funk Majani Na Wenzie Bado Yasubiria Mkono Wa Master J Reviewed by Unknown on Saturday, December 08, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.