Top Ad unit 728 × 90

Jua Cali Azungumzia Issue Ya Wasanii Kuondoka Calif Records...

Rapper kutoka Kenya anaefanya mtindo wa GENGE, Jua Cali amezungumzia issue ya wasanii ambao hivi karibuni wameonekana kukimbia studio za Calif ambazo yeye binafsi ameanzia huko... Akizungumzia the issue kwenye Makutano Show, kipindi kilichopo kwenye Radio Ya Citizen nchini Kenya, Jua Cali ana-comment "Kama msanii ni professional, mtu anajua pahali anaenda, most of the time utapata huyo ni msanii mtulivu, hana pressure. Anakuja studio anamaliza ku-record, anapanga video yake. 

Kuna msanii anaangilia angalia nje sana, hayuko mtulivi, hao ndio hutoka. Calif tunataka professionalism" Akiendelea kuongea, Jua Cali pia aliongelea kuhusu track zake zitakazofuata katika game ya music nchini Kenya ikifuatiwa na Albums. Jua Cali alipoulizwa ni nini tatizo ya haya, alisema ""Tatizo ni hawa wasanii si watulivu. 

Msanii ametulia ni Mejja. Anakuja studio ana-record na maisha inaendelea. Wengine three months hawajaonekana studio. Unampigia hata hujui mahali yuko. Kwa hivyo msanii kama huyo hata akienda ni sawa tu"... 

Calif Records imekuwa na wimbi la kuondokewa na wasanii wake, akiwemo, Qty, Q-Tasi na Si-So aliyesepa mapema wiki iliyopita.
Jua Cali Azungumzia Issue Ya Wasanii Kuondoka Calif Records... Reviewed by Unknown on Monday, January 07, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.