Top Ad unit 728 × 90

New Music :Viva Conscious Ft Tash -Punch Vocal(Prod.Mesen Selekta) De Fatality Music

Huu Ni Wimbo Mpya Wa Viva Conscious Ikiwa ni mwaka 2013 Akimshirikisha Tash ..Star wa Chapia…Ngoma Ikipikwa chini ya Producer Mesen Selekta.Hii Ni Ngoma ya kwanza Kwa Mwaka Huu ya Star huyu wa Sugar cane ,Na Manguli wa Kindai. Na Pia ni ngoma ya kwanza kutoka katika album yake ambayo itatoka Mwishoni mwa mwaka itakayoitwa Brave Mind Vol2. Ambayo Nyimbo Baadhi kutoka Katika album yake zimeanza kuuzwa katika mtandao wa East African Tunes. Pakua Wimbo Hapa Upate kuendelea Kumfahamu vema Viva Conscious.
New Music :Viva Conscious Ft Tash -Punch Vocal(Prod.Mesen Selekta) De Fatality Music Reviewed by Unknown on Tuesday, January 22, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.