Top Ad unit 728 × 90

NEW TRACK: Gusher - Bado Wewe

Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher" anayekuja na crunk aloita "Bado wewe" ikiwa imewalenga viongozi walopotosha maana nzima ya uongozi bora nchini,Kijana Gusher toka panda za kaskazini mwa Tanzania amerekodi pini pande za noizmekah,ni mwenye juhudi na malengo makubwa katika kuonyesha kipaji chake anaomba support yenu mashabiki na wadau kwa ujumla, kupata kuisikiliza nyimbo hii ya "BADO WEWE"
NEW TRACK: Gusher - Bado Wewe Reviewed by Unknown on Wednesday, January 09, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.