Top Ad unit 728 × 90

Sikiliza Event page ya Fleva GX hapa Jana 19.02.2013


Katika Event page ya Fleva GX na Lastic Material kulikuwa na stori mbili ambazo zilimuhusu sana Songa pamoja na Barnaba. Songoa yeye alieleza yake yaliyohusu status katika ukurasa wake wa facebook iliyowafanya wengi kuamini kwamba alikuwa akim-Diss msanii mwenzio wa muziki wa Hip Hop nchini Lord Eyez. Hii hapa down ndo sauti yake isikize mwenyewe alichokizungumza kuhusu inshu hiyo.
 Pia Barnaba nae alielezea nia yake ya kufanya collabo na msanii yeyote wa kike nchini ambaye mashabiki watamchagulia na aliweka wazi pia kwamba hata kama mashabiki watamchagulia mtu ambae hataendana nae yupo tayari kumpa training ya kutosha ili mradi tu waje wafanye ngoma ya maana na kali kwa kuwaheshimu mashabi wake.
Sikiliza Event page ya Fleva GX hapa Jana 19.02.2013 Reviewed by Unknown on Wednesday, February 20, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.