Top Ad unit 728 × 90

MENEJA WA DAR STAMINA AMCHANA SHETTA

Katika Event page ya Fleva GX mtu mzima Shabaa aliyekuwa akim-manage Shetta hatimaye ameweza kuyasema yale ambayo watu wengi walikuwa hawayajui kuhusiana na msanii Shetta mara tu baada ya msanii huyo kujitoa katika kundi la DarStamina.

Meneja huyo wa DarStamina aliweza kuyasema mengi ikiwa ni pamoja na kuweka wazi kwamba alikuwa ndiye mwandishi wa nyimbo karibia zote zilizomuweka Shetta juu hadi leo.

Msikilize hapa akifanyiwa mahojiano na Lastic Material katika Event Page ya Fleva GX (Impact fm)
MENEJA WA DAR STAMINA AMCHANA SHETTA Reviewed by Unknown on Tuesday, March 05, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.