Top Ad unit 728 × 90

Balle Berry atarajia mtoto wa pili.

Mwigizaji wa kike maarufu duniani Halle Berry ameonekana akiwa na ujauzito wa miezi kadhaa na anatawajiwa kupata mtoto wa pili.

Ujauzito huo ni wa mchumba wake ambaye anafahamika kama Olivier Martinez, Halle Berry mwenye umri wa miaka 46 kwa sasa anazidiwa mwaka mmoja na mchumba wake huyo mwenye miaka 47.

Wawili hao wamethibitisha hali hiyo na wanaonekana wenye furaha na shauku ya kukisubiri kiumbe hicho ambacho ni 'baby boy'.
Balle Berry atarajia mtoto wa pili. Reviewed by Unknown on Friday, April 05, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.