Top Ad unit 728 × 90

Simulizi za mvuja jasho (Hipoz Men) Forever (Chuo cha Mafunzo ya Graphic kinakuja Dodoma)

Siku siyo nyingi kwa mkazi wa Dodoma na kijana wa kileo unaehitaji kwenda ki-Digitali soon mwana Hipoz atafungua Institute ya kufundisha masomo katika mambo ya Graphics kama vile 'Animation 2D graphics'! kaa tayari kwa wewe unaehitaji mafunzo kama kwa Dodoma...Kwa maelezo zaiddi wasiliana na Dj Mchomo 0716825982 ili kupata utaratibu jinsi ya kujisajili na kujua ni lini chuo kitaanza kufanya kazi..
Simulizi za mvuja jasho (Hipoz Men) Forever (Chuo cha Mafunzo ya Graphic kinakuja Dodoma) Reviewed by Unknown on Saturday, April 06, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.