Wizzo , Willy Fololo(Kenyan Artist) , Viva & Masebo - NITAKUOA (Audio)
Brand new Music Kutoka GoodNation Music ..Ndani wakiskika Waimbaji Kama Wizzo ,Willy Fololo toka Kenya , Masebo na Rapper Viva Conscious .Ngoma ikifanywa chini ya Unit Kali sana ya Goodnation Studios Chini ya Producer Masebo. Ambayo Hivi Karibuni ikionyesha Ujio wa Hali ya juu ikifanya kazi na Ma Mc wa Kubwa ndani na Nje Ya Nchi.Pia Ikifanya Kazi na Link ya De fatality Music Chini ya MESEN SELEKTA
Wizzo , Willy Fololo(Kenyan Artist) , Viva & Masebo - NITAKUOA (Audio)
Reviewed by Unknown
on
Sunday, April 28, 2013
Rating:
No comments: