DOUBLE TRACK: EN O SEVEN & HIPOZ MEN [AUDIO]
Beat ni mkono wa mkali SLIMSAL ambaye kwa sasa yupo MJ Records kwa Marco chali na hizi ngo ngoma mbili ambazo wamezifanya majaa kwa kutumia beat moja.
Makundi ni EN O Seven ambalo ndopo SLIM SAL Alipokulia na lipo hadi leo na ya pili imefanyikia India ambapo ndo Makazi ya kundi la HIPOZ MEN.
Makundi yote haya mawili yote yanatokea Mkoani Dodoma.
Sikiliza na Download hapa track hizi kisha sema nani kafanya poa kati ya makundi haya mawili ndani ya SAME BEAT.
EN O Seven Track:
Hipoz Men Track Hapa:
DOUBLE TRACK: EN O SEVEN & HIPOZ MEN [AUDIO]
Reviewed by Unknown
on
Saturday, May 11, 2013
Rating:
No comments: