Top Ad unit 728 × 90

JOH MAKER - NAKUNYOA KIPARA [Audio]


Jina lake halisi ni Jerome mushi ila Anajulikana kama Joh Maker Ni Mshindi namba mbili  kutoka Morogoro wa mashindano ya SUPER NYOTA yaliyoandaliwa na Clouds Fm mwaka Jana 2012. Ni mwanafunzi wa chuo
kikuu cha Sokoine University Of Agriculture Morogoro. Baada ya mashindano hayo kuisha  aliyouachia wimbo wa NIONDOKEE ambao alimshirikisha msanii Mabeste na Deddy.Pamoja wa hapo ameshafanya kazi nyingi na wasanii mbalimbali wanafahamika kama Godzilla Stamina Young killer Na wengine wengi Na Sasa Ameuwachia wimbo wake unaojulikana kwa jina la NAKUNYOA KIPARA uliofanyika katika Studio za KWANZA RECORDS
morogoro Chini ya Producer wake Vennt skillz anaomba support zenu ili kuweza kutimiza malengo yake
JOH MAKER - NAKUNYOA KIPARA [Audio] Reviewed by Unknown on Thursday, May 16, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.