M2Tatu ft Eslyne - I jus wanna Dance [Audio]
Toka New Way Music, Record label inayomilikiwa na producer Mosco wanakuja vijana watatu wakishirikiana na mwanadada Eslyne katika ngoma yao mpya inayoitwa "I jus Wanna Dance" ilorekodiwa katika studio za noizmekah chin ya Defxtro, Hii ngoma iwaendee club maniacs wote around tha world,Tunajipanga kushoot video yake anyday soon..kusikiliza I jus Wanna Dance bofya HAPA na endelea kusupport Tanzanian Music.
M2Tatu ft Eslyne - I jus wanna Dance [Audio]
Reviewed by Unknown
on
Monday, May 27, 2013
Rating:
No comments: