MeccaCheka Ft Gnako - Soma [Audio]
Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza na Download Hapa chini.
MeccaCheka Ft Gnako - Soma [Audio]
Reviewed by Unknown
on
Friday, May 17, 2013
Rating:
No comments: