Top Ad unit 728 × 90

MSANII ARUSHA KUACHIA KOMBORA LA KISIASA

 Rapa machachari kutoka mkoani Arusha Kapuku Digital a.k.a Mitishamba boy anatarajiwa kuachia mixtape gumzo inayo kwenda kwa jina la KABURI LA FISADI Vol.1 ambayo inatayarishwa nastudio mbali mbali za jijini Arusha mixtape hiyo imesha kamilika kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuachiwa kwenye mitandao. Kapuku ni rapa machachari sana anayetisha kwa street mixtape na GANG RAP kapuku amehit mtaani kwa nyimbo zake kama MUNGU NIPE A TOWN nanyingine nyingi.

"UJUMBE ALIOANDIKA MANAGER WA KAPUKU FB"
.....KIAMA ARUSHA CHA TANGAZWA............KABURI LA FISADI KUCHIMBWA ARUSHA
 
Kutoka ARUSHA msanii na mhuni kutoka mkoani ARUSHA kaamua kumsaidia MH LEMA  na wanaharakati wote wa maendeleo mjini ARUSHA kwa kupambana na mafisadi kwa kupitia mziki hatua hii imechukuliwa na masanii huyo baada yakuona lema anaandamwa sana na chama tawala,serikali na baadhi ya watu wasio penda maendeleo jijini arusha hivyo basi ameamua kutengeneza kombora la kisiasa litakalo lipuka siku yoyote muda wowote kuanzia sasa, pia amesema anataka aonyeshe utofauti zaidi kati ya wasanii wa daslam na wa arusha..kombora hilo pia lita mHenzi mkuU wa wamajeshi, HIp Hop legendary father Nelly, Sokoine na mwl Nyerere..mixtape hiyo imesha anza kua gumzo baada ya Msanii kapuku kuachia track chache zilizopo kwenye mixtape kama Mungu nipe A town,bongo fleva mabuzi,Mapinduzi,
 
KAMA WEWE NI FISADI NJOO, na Fisadi get out the way pumbavu, MIXTAPE HIYO IMETENGENEZWA KUTOKA KWENYE BEATS ZA ZAMANI ZILIZOTENGENEZWA NA MAPRODUCER MAHILI HUKO MAREKANI..HAKIKA UKISIKILIZA TRACK YAKE  MOJA LAZIMA UTASIKILIZA NA NYINGINE INAYO FWATA kwa taarifa zaidi tembelea 
facebook/kapukudigital
twitter/kapukudigital
hulkshare/kapukudigital

LIKE PAGE YAKE UWEZE KUPATA NYIMBO ZAKE PINDI ZINAPO TOKA TUUUUUUU
MSANII ARUSHA KUACHIA KOMBORA LA KISIASA Reviewed by Unknown on Wednesday, May 01, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.