Top Ad unit 728 × 90

MTC - Hapa hafungwi mtu [Audio]


Anakuja MTC,na ngoma mpya kwa jina "Hapa Hafungwi Mtu" inayozungumzia zaidi mateso na athari wanazopata washtakiwa wa kesi za kusingiziwa ikiwemo dhuluma,kupoteza mali, kufungwa kwa tuhuma ambazo hawakuhusika. Ikiwa ni real life experience,MTC anatarajia kuja na Album kamili January 2014. Hapa hafungwi mtu imerekodiwa katika studio za Noizmekah na ni single ya utambulisho na ujio mpya wa MTC anayemiliki Studio ya YABISI RECORDS, "Uwongo umejitenga kwenye Ukweli na sasa Yabisi Society itakuwepo tena Mtaani kama zamani,Hakipotei kitu" asema MTC..Pata kusikiliza ngoma na Kudownload.
MTC - Hapa hafungwi mtu [Audio] Reviewed by Unknown on Monday, May 27, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.