Top Ad unit 728 × 90

NEW HIT FROM MYCOEL - RUDI [Audio]


Anajulikana kama MYCOELY ni msanii wa bongo flava katika swala zima la r&b
msanii huyi ameachia ameachia wimbo wake mpya uitwao RUDI ambao ameufanya katika studio za KWANZA REC chini ya producer VENNT SKILLZ

Pia amefanya nyimbo nyingi za kushirikishwa na wasanii mbalimbali hap TZ the Jakaya Land, miongoni mwa hits hizo nitrack ambayo amefanya na ASHABOKO ambyo now inafanya vizuri sana katika radio station mbalimbali hata nchini

Kwa wale wajanja ambao wanapenda mziki mzuri halisi wenye ladha za TANZANIA tembelea humu kuupakua a.k.a kuupakua ili mwisho wa siku tufanye malengo ya wanao weza kufika mbali zaidi.
NEW HIT FROM MYCOEL - RUDI [Audio] Reviewed by Unknown on Saturday, May 25, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.