Top Ad unit 728 × 90

PROF JAY AJIUNGA RASMI NA CHADEMA

Msanii wa hip hop Tanzania Joseph Haule ambaye pia ni miongoni mwa wasanii ambao wametoka mbali na muziki wa bongo flava amejiunga rasmi CHADEMA kwa kuchukua kadi ya chama hicho

Lakini jambo ambalo limewaacha wengi midomo wazi ni pale PROF JAY alipo tweet maneno haya ''vua gamba vaa gwanda'' ambayo ameyatumia kuwasilisha picha yake inayomuonyesha ameshika kadi ya chama hicho akiwa na mbunge wa mbeya mmjini Joseph Mbilinyi au MR II.
PROF JAY AJIUNGA RASMI NA CHADEMA Reviewed by Unknown on Tuesday, May 21, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.