Top Ad unit 728 × 90

Shukrani kwa Mashabiki wa Jambo Squad

Shukrani kwa Mashabiki wa Jambo Squad kwa kuwa pamoja nasi katika muziki wetu miaka yote hii.Hadi kufikia mwaka huu kuwa washiriki katika Tuzo za kitaifa zi Kilimanjaro Music Awards tukiwania nafasi ya Kundi Bora La Muziki wa Kizazi kipya 2013,Cha zaidi ni ombi kwenu kuendelea kusupport Muziki wetu kwa kutuwezesha katika kura za sms na mtandao. Tuma CF1 kwenda Nambari 15345 au Piga kura kwa barua pepe ktma2013@innovexdc.com au tembelea tovuti ya www.kilitimetz.com

Pitia na pande hizi kuchek na nyimbo zao kuwafahamu vizuri Jambo Squad
Official "Jambo Squad-Tukunyema" VIDEO & AUDIO Links Here
Audio- http://www.hulkshare.com/eqj5se5xtslc
Video- http://youtu.be/9lgSs6_HX44


Official "Jambo Squad-Mamong'oo" VIDEO & AUDIO Links HereAudio- http://www.hulkshare.com/7sj5xvnir2io
Video-
 http://youtu.be/15LLk5jyZyY
Shukrani kwa Mashabiki wa Jambo Squad Reviewed by Unknown on Saturday, May 04, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.