Top Ad unit 728 × 90

SUMA MNAZALETI AFUNGUKA KUHUSU TUKO WANGAPI VIDEO NA SIKU 16 ZA KUKAA MJINI


Msanii wa muziki wa kizazi kipya suma mnzaleti leo tarehe 18 may amefunguka kuwa amebakiza siku 16 za kukaa mjini akiwa anamaanisha Tanzania

Hitmaker huyo wa ngoma ambayo ni hbari ya mjini ''TUKO WANGAPI'' ft tunda man amesema hayo jana time nanpiga story na miongoni mwa member wapage hii (lastic material) kuwa yuko katika michakato ya kwenda south africa kutengeneza video ya ngoma yake ya tuko wangapi

Pia mnazaleti baada ya kuulizwa vipi kuhusu tunda man ambae amesimama katika chorus ya ngoma hiyo je atakwenda nae huko kawa madiba na majibu yalikuwa hivi

''Tunda ndo ananiumiza kichwa mbk sasa cz mimi nakomaa mwenyewe bila wadau so nahisi tunda atafanyia vipande vyake hapa tz then nitawapelekea ma producer wa kichupa hicho'' alisanuka hivyo bwana suma
SUMA MNAZALETI AFUNGUKA KUHUSU TUKO WANGAPI VIDEO NA SIKU 16 ZA KUKAA MJINI Reviewed by Unknown on Saturday, May 18, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.