Top Ad unit 728 × 90

AUDIO TRACK : RODGERS ISRAEL ft WATOTO WA PARADISE - TUDUMISHE AMANI [Audio]



Nchi yetu kwa sasa unapoteza ule muelekeo wa AWALI tuliokua nao yaani AMANI. Kila kukicha matukio tofauti tofauti ya kuhatarisha AMANI yetu yanatokea kitu ambacho kitatupeleka kwenye VITA vya wenyewe kwa wenyewe.

Mimi kama Rodgers Israel nimeliona hili na kulitazama kwa jicho la tatu ndio maana nimeweza kuwakutanisha wasanii zaidi ya kumi na kuimba wimbo huu wa TUDUMISHE AMANI ili kuikumbusha jamii ya Watanzania na
Dunia kwa ujumla kuwa tunapaswa kuilinda AMANI tuliyonayo kwa ajili ya vizazi vijavyo vya nchi yetu.

Ndani ya wimbo huu wameimba wasanii zaidi ya kumi maarufu kama watoto wa Paradise  ambao ni Chris wa Jano, Soja B, G wa Simon, G fire, Lady Nike, Mass B, Rayswing The Ngada, Yung Omega, Simpoo, Dj A11, Lady Yoo, Joseph Amani na mimi Rodgers.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Soja B kutoka pande za TVC RECORDS Kimandolu Jijini Arusha.

Kwa Interviews unaweza kunitafuta kwa +255 764 288 054.

naombeni support yenu ili watu wote wapate huu ujumbe

“WATANZANIA AMANI YETU IKO WAPI, TUKUMBUKE TULIPOTOKA, TULIPO NA TUNAPOKWENDA. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA IMANI YAKO ITAWALE AMEN”
AUDIO TRACK : RODGERS ISRAEL ft WATOTO WA PARADISE - TUDUMISHE AMANI [Audio] Reviewed by Unknown on Tuesday, June 25, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.