Top Ad unit 728 × 90

BRAND NEW ONLINE SHOW


VIDEO SURGERY, Show mpya ambayo itaanza kuwa published Youtube, Mpango na lengo lake kubwa likiwa ni kujenga na kuboresha kazi mbalimbali za videos zinazofanya na wasanii, hususan Music Videos, Kwa kushirikisha wataalam wa Video Production kwa karibu pamoja na maoni ya kwako wewe mkali wetu, tutakuwa tunachambua videos ambazo kwa mwanzo huu tutakuwa tunazichagua sisi na kuhighlight mambo yoote ambayo yamefanyika vizuri katika video hiyo na pia tutakuchana kinomanoma pale ambapo tutakuwa tumeona makosa dhahiri, lengo kubwa likiwa ni kuwachallenge wasanii kufanya kazi bora zaidi kwa mashabiki wao.


Presenters wa show ni Kennedy Frank Remedy [@KenedyFrank] na Fadhili Kiwia [Mo_Faze] chini ya Director mkali Edson Kato 2.5D 
Chek na party one ya show hii hapa [King Kapita ft. Godzilla 'Kuna tatizo kwani']
BRAND NEW ONLINE SHOW Reviewed by Unknown on Saturday, June 01, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.