Top Ad unit 728 × 90

Chief Mufasa - Jaiye Jaiye SNIPPET [Audio]

Pata kumsikiliza ChiefMufasa msanii anayewakilisha vema Tanzania kule nchini Kenya,na hapa ni katika kipande kidogo cha Bonus track yake aloipa jina "JaiyeJaiye" ambayo ni Afropop itakayokuwa katika mixtape ya Fresh 2 Twenty,itakayodrop mtaani mwezi huu mwishoni,Mixtape itakuwa na ngoma 12 za muundo wa HipHop, Crunk, Afropop na fusion zingine nyingi tofauti zikiwa zimerekodiwa Noizmekah Production Stiudios kwa Defxtro, sikiliza Jaiye Jaiye Snippet HAPA na endelea kussuport muziki wa Tanzania,Kwa mawasiliano zaidi check na ChiefMufasa kupitia +255 757 564 839 au +254 714 564 839
Chief Mufasa - Jaiye Jaiye SNIPPET [Audio] Reviewed by Unknown on Saturday, June 15, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.