Top Ad unit 728 × 90

Dallarz - Chukua Pombe yangu [Audio]

Wadau wangu mambo vp!
Pesa sina int. inapenda kumleta kwenu  (mack dallaz ukuni) aliye hit na ngoma kama mtaani kwetu,
 sasa anakuja na ngoma inayoitwa chukua pombe yangu.
ila madee usijali huu ni mziki chukua pombe ya mack dallaz ya kwako siilikuwa nusu glasss,ni mziki tu
                                              ha ha ha ha ha ha ha  
usiache kuisikia hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Dallarz - Chukua Pombe yangu [Audio] Reviewed by Unknown on Friday, June 21, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.