Top Ad unit 728 × 90

JAY MOO AFUNGUKA KUHUSU KUUAGA MWILI WA ALBART MANGWEAR VIWANJA VYA JAMHURI MORO

Baada ya kuuga mwili wa marehem mangwear pale leaders na kuelekea moro kuna baadhi ya wadau wa muziki wa kizazi kipya na wasanii akiwemo afande sele wamependekeza mwili kuagwa pale viwanja vya jamhuri mkoani morogoro

story hazikuishia hapo mwandishi wetu akamtafuta jay mo ambaye ni msanii lakin pia ni mmoja wa kamati ya mazishi na kumuuliza kuhusu uwezekano wa kuuaga mwili wa marehemu ngweair pale viwanja vya jamhuri,jay mo alikuwa na haya ya kusema
Sikiliza hapa...
JAY MOO AFUNGUKA KUHUSU KUUAGA MWILI WA ALBART MANGWEAR VIWANJA VYA JAMHURI MORO Reviewed by Unknown on Thursday, June 06, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.