Top Ad unit 728 × 90

Picha mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya kupinga madawa ya kulevya 26.06.2013 Kitaifa Dodoma.


Watu mbalimbali waliojitokeza katika maadhimisho hayo




Material Classic toka DjMchomoBlog akifanya mahojiano na Mwanadada Jacqueline Paul katika uwanja wa Mwalimu Nyerere katika maadhimisho ya Kupiga vita madawa ya kulevya Kitaifa yaliyofanyika mkoani Dodoma Leo tarehe 26.06.2013





Mh. William Lukuvi Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dodoma

Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake.


Msikilize hapa mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitoa hotuba yake katika ufunguzi wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa Mkoani Dodoma



Msikilize pia mdau mojawapo na mwanaharakati wa kupinga madawa ya kulevya ambaye nae alizungumza mambo kadhaa ya kuzingatia katika kupambana na madawa hasa kwa jamii yetu na adhari mbalimbali zinazotokana na matumizi ya madawa ya kulevya.
Picha mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya kupinga madawa ya kulevya 26.06.2013 Kitaifa Dodoma. Reviewed by Unknown on Wednesday, June 26, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.