Top Ad unit 728 × 90

Willy Fololo & Ghetto Grade - LEO [Audio]

GhettoGrade anaewakilisha Best Reggae Group of the year Kupitia KTMA pamoja na WillyFololo wamedrop pande za noizmekah Studios kurecord pini lao jipya la muundo wa Afropop itakayokuwepo katika joint project itakayotoka hivi karibuni, Mbali na goma hili waloipa jina "LEO" WillyFololo amezungumzia Video yake ya "BIG UP URSELF" itakayotoka karibuni, Download ngoma hiyo huku tunasubiri video HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi check na WillyFololo kupitia +255 656 477 793 .powered by www,vmgafrica.com
Willy Fololo & Ghetto Grade - LEO [Audio] Reviewed by Unknown on Saturday, June 15, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.