Top Ad unit 728 × 90

Wyre Alaine, Bee Man, Joh Makini, Manbatoo na Yung Omega - Nakupenda pia (Noiz MEkah RudeMix) [Audio]

Ikiwa ni mwaka mzima wa ukimya kwa Studio mix zinazojulikana kama "Rudmixx" zilizo tamba sana katika kumbi za starehe na digital player zetu, Pata kuenjoy weekend yako kiparty zaidi na Mix hii mpya toka kwa Defxtro ikiwa imetumika nyimbo ya "NAKUPENDA PIA" ya Mkali wa Dancehall Wyre na Alaine huku zikiskika ladha za ki-Deejay toka kwa BeeMan, JohMakini, Manbatoo na YungOmega, Hii ni kwa Enjoyment pekee na sio Biashara, All original rights remain with the respective artists representing this Musical Work of the Deejayin Art,Download HAPA and Enjoy
Wyre Alaine, Bee Man, Joh Makini, Manbatoo na Yung Omega - Nakupenda pia (Noiz MEkah RudeMix) [Audio] Reviewed by Unknown on Saturday, June 15, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.