Top Ad unit 728 × 90

Hii ndio Barua aliyopewa MR NICE kusimamishwa GRANDPA REC ya Kenya mwezi uliopita

Hii ndio barua rasmi ya kufukuzwa kwa Mr Nice katika studio za GrandPa alikokuwa akisimimiwa kazi zake katika siku hizi za karibuni. Nakala hii tumeipata moja kwa moja toka kwa Mkurugenzi wa GRANDPA REC YUSUF NOAH ambaye ndiye alimsainisha Mr Nice katika studio zake  na ni yeye tena aliyechukua hatua za kumtimua baada ya Msanii wetu kutokuzingatia vigezo na Masharti ya mikataba yake.

Hii ndio Barua aliyopewa MR NICE kusimamishwa GRANDPA REC ya Kenya mwezi uliopita Reviewed by Unknown on Friday, July 26, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.