Top Ad unit 728 × 90

Big Daddy Don - Ma Life [Audio]

Akiwakilisha vema mkoa wa moshi na pia kundi zima la WestPasu, si mwingine ni rapper BigDaddy Don aka Malai Junior na wimbo brand new "Ma Life" ulorekodiwa Arusha, katika studio za Noizmekah chini ya Producer Defxtro, ngoma hii ni Hiphop yenye kionjo kidogo cha kuimba kutoka kwa mchizi mkali wa chorus kwa jina la Chozi, pata kuisikiliza/download HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na Big Daddy Don check naye kwa Simu nambari +255 763 302 950 ,powered by www.vmgafrica.com
Big Daddy Don - Ma Life [Audio] Reviewed by Unknown on Sunday, August 18, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.