Top Ad unit 728 × 90

CHAGUA HAPA ALBUM BORA YA HIP HOP YA MWAKA KATIKA TUZO ZA B.E.T

Kwa wale wapenzi na mashabiki wa HIP HOP kwa mwaka huu unaweza kuangalia na kushiriki pia katika kuchagua album bora ya Hip Hop ya mwaka ambapo wasanii na album zao wameorodheshwa hapa chini tupia kura zako ili kumuwezesha kushinda yule mtu unayemkubali kama wewe...

1. J.Cole for #BornSinner
2. Jay Z for #MagnaCartaHolyGrail
3. Kendrick Lamar for #GoodKidmAAdcity
4. NAS for #LifeIsGood
5. Wale for #TheGifted
Pia unaweza kuingia hapa ili kupata info zaidi na kuzitupia kura zako hizo kwa hapa ambazo mwaka huu baba yao SNOOP DOGG au SNOOP LION kama anavyojulikana kwa sasa ata-HOST mpango mzima wa tuzo hizo. 
CHAGUA HAPA ALBUM BORA YA HIP HOP YA MWAKA KATIKA TUZO ZA B.E.T Reviewed by Unknown on Friday, August 23, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.